Navigation

News

We’re hiring in Pemba

by Jeff Schnurr on September 2, 2014

If you're a Tanzanian citizen we invite you to submit an application to join our partner organization, Community Forests Pemba in leading our ground-breaking work in Pemba, Tanzania. English instructions below.
 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Community Forests Pemba (CFP) inatangaza nafasi za kazi zifuatazo:-
 
Administrative Assistant – nafasi 1
Kusaidia kwenye shughuli za ofisi, hasa kutumia kompyuta kuskan, kuprint, nakathalika.
 
Agriculture Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii katika kilimo shambani na mbogamboga katika maeneo ya makaazi.
 
Agroforestry Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii kwenye matayarisho na uendelevu wa kilimo mseto.
 
Forester – nafasi 1
Kusaidia jamii kwenye maswali ya uongozi wa nurseries na upandaji wa miti.
 
Beekeeping Officer – nafasi 1
Kusaidia jamii katika ufugaji wa nyuki na kutoa elimu ya kitaalamu.
 

SIFA ZA WAOMBAJI

Waombaji wanatakiwa wawe wamemaliza diploma au kuwa na miaka mitatu ya uzoefu.  Wanatakiwa kuwa na uwezo wa kufanya kazi na usimamizi kiwango cha chini na kuwa na uwezo kwenda fieldi kufanya kazi siku mzima.

JINSI YA KUTUMA

Barua ya maombi yanatakiwa yawasilishwe kwa lugha ya Kiingereza pamoja na CV ya muombaji, na nakala za vyeti vyake.  Mwisho wa kupokea maombi ni siku ya Ijumaa tarehe 10 Septemba 2014 sa 11:30 asubuhi.  Wanawake wenye sifa watapewa kipaumbele. 
Maombi yanaweza kuwasilishwa kwa mkono, kwa posta au kwa barua pepe kwenda anuani iliopo hapo chin:-
Community Forests Pemba (CFP)
P.O. Box 177, Wete-Pemba
Minyenyeni - Pemba
Tel: +255 777 42 74 50
Email: cfp@forestsinternational.org
Web: http://www.envaya.org/cfp

 

Community Forests Pemba ( CFP )  announces the following vacancies:
Agriculture Officer – Support communities in agricultural and vegetable production.
Agroforestry Officer - Support communities in the preparation and continuation of agroforestry activities.
Forester - Support the community in the establishment of tree nurseries and tree planting activities. 
Beekeeping Officer – Support communities in beekeeping activities and livelihood training.
Administrative Assistant - Assist in office operations, especially using computers, scanning, printing, and filing.
 
QUALIFICATIONS OF APPLICANTS
Applicants should have completed a diploma or have three years of experience. Should be able to work with minimum supervision and be able to perform both office and field based tasks. 
 
HOW TO APPLY
Please submit in English and include an updated CV and copies of relevant certificates.
Deadline for application is September 10 2014 at 11:30AM EAT. Female applicants will be given priority if their qualifications and achievements are equal to those of male applicants.  
Applications can be submitted by hand, by post or by email to the following location: 
 
Address: 
Community Forests Pemba ( CFP ) 
P.O. Box 177, Wete - Pemba  Minyenyeni - Pemba 
Tel : +255 777 42 74 50
Email : cfp@forestsinternational.org 
Web : http://www.envaya.org/cfp
comments powered by Disqus